Rais Samia amfagilia Issa Gavu

ZANZIBAR; Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania , Dk Samia Suluhu Hassan amemwagia sifa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni ya CCM, Issa Haji Gavu.Akizungumza katika mkutano uliofanyika Wilaya ya Kati Mkoa Kusini Unguja, Mwenyekiti Dk Samia amesema Gavu ameiweza idara utendaji wake ni wa kupigiwa mfano na ameiweza idara anayoiongoza.“Ndugu Gavu ameiweza Idara ya oganaizesheni naomba awasalimie,”

Rayyan Mvungi Rayyan Mvungi

Wadau wa demokrasia waitaka NEC Kudhibiti Rushwa

DAR ES SALAAM: WADAU wa Demokrasia kutoka ndani na nje ya nchi wameitaka Tume ya uchaguzi nchini (NEC)kudhibiti vitendo vya rushwa katika vyama vya siasa ili kutoa fursa kwa watu wengi hususani wanawake kugombea.Hayo yamesemwa leo Januari 6, 2023  na Mwanasiasa  mkongwe Getrude Mongela katika mjadala wa utoaji maoni ya miswada ya sheria ya uchaguzi, vyama vya siasa na Tume ya

Rayyan Mvungi Rayyan Mvungi

Simbachawene aonya maadili yasiyofaa kwa Watumishi

ARUSHA: WAZIRI wa nchi, Ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora, George Simbachawene amewaonya Watumishi wanaokosa maadili katika utumishi wa umma kwenye maeneo mbalimbali. Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao kazi cha Wakuu wa idara za utawala na rasilimaliwatu katika Wizara,idara zinazojitegemea, Wakala, Taasisi za umma,sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za serikali za mitaa kinachofanyika katika

Rayyan Mvungi Rayyan Mvungi
- Sponsored -
Ad imageAd image

TRENDING STORIES

Report of microfinance business! in Tanzania

I put the key banks to help them people who need small

Rayyan Mvungi Rayyan Mvungi
Weather
30°C
Tanzania
overcast clouds
30° _ 30°
34%
4 km/h
Sun
33 °C
Mon
35 °C
Tue
36 °C
Wed
32 °C
Thu
34 °C

Follow US

Discover Categories

TANZANIA

19 Articles

Kimataifa

1 Article

Biashara

2 Articles