ZANZIBAR; Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania , Dk Samia Suluhu Hassan amemwagia sifa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni ya CCM, Issa Haji Gavu.Akizungumza katika mkutano uliofanyika Wilaya ya Kati Mkoa Kusini Unguja, Mwenyekiti Dk Samia amesema Gavu ameiweza idara utendaji wake ni wa kupigiwa mfano na ameiweza idara anayoiongoza.“Ndugu Gavu ameiweza Idara ya oganaizesheni naomba awasalimie,”…
DAR ES SALAAM: WADAU wa Demokrasia kutoka ndani na nje ya nchi wameitaka Tume ya uchaguzi nchini (NEC)kudhibiti vitendo vya rushwa katika vyama vya siasa ili kutoa fursa kwa watu wengi hususani wanawake kugombea.Hayo yamesemwa leo Januari 6, 2023 na Mwanasiasa mkongwe Getrude Mongela katika mjadala wa utoaji maoni ya miswada ya sheria ya uchaguzi, vyama vya siasa na Tume ya…
ARUSHA: WAZIRI wa nchi, Ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora, George Simbachawene amewaonya Watumishi wanaokosa maadili katika utumishi wa umma kwenye maeneo mbalimbali. Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao kazi cha Wakuu wa idara za utawala na rasilimaliwatu katika Wizara,idara zinazojitegemea, Wakala, Taasisi za umma,sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za serikali za mitaa kinachofanyika katika…
I put the key banks to help them people who need small…
Sign in to your account