HABARI ZA MASTAA: CHANUO”MADEBE LIDAI ANANITESA NDOA YANGU CHUNGU”
⚠️😳 "Nilianza kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 15 na nilifanya na Madebe Lidai baada ya kunitongoza ili niweze kucheza nae movie, ilikuwa mwaka 2009 lakini hata…
Rais Samia amfagilia Issa Gavu
ZANZIBAR; Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania , Dk Samia Suluhu Hassan amemwagia sifa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni ya CCM, Issa Haji Gavu.Akizungumza katika mkutano uliofanyika…
Wadau wa demokrasia waitaka NEC Kudhibiti Rushwa
DAR ES SALAAM: WADAU wa Demokrasia kutoka ndani na nje ya nchi wameitaka Tume ya uchaguzi nchini (NEC)kudhibiti vitendo vya rushwa katika vyama vya siasa ili kutoa fursa kwa watu wengi…
Simbachawene aonya maadili yasiyofaa kwa Watumishi
ARUSHA: WAZIRI wa nchi, Ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora, George Simbachawene amewaonya Watumishi wanaokosa maadili katika utumishi wa umma kwenye maeneo mbalimbali. Ameyasema hayo…
Yanga yajipigia tena Geita Gold
SHOO imerudi tena baada ya Yanga jioni hii kuendeleza ubabe dhidi ya Geita Gold kwa kuifumua mabao 3-0 katika pambano tamu la Ligi Kuu Bara lililopigwa kwenye Uwanja wa CCM…
Katibu Mkuu Mpya wa UVCCM Azindua Mpango wa Kuwasiliana na Vijana
SONGWE; Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Fakii Lulandala, amezindua mpango wa kufanya mawasiliano na vijana katika mikoa yote, na kuwataka viongozi wa UVCCM…
Mange Kimambi Aolewa Tena na Mzungu
Mange Kimambi(43) aolewa tena na mzungu Marafiki zake kadhaa wa karibu wamepost picha na kumpongeza mwanamitandao/mwanahabari huyo maarufu Kabla Mange akiwahi kuolewa na mzungu mwingine ambapo ndoa yao ilidumu kwa miaka kadhaa…
Mama Wema: sipendi ,maisha anayoishi Wema
DSM: Mama mzazi wa mrembo wa Filamu Wema Sepetu, Mariam Sepetu amemtaka mpenzi wa Wema,Osca Lelo ‘Whozu’ kwenda kujitambulisha nyumbani kwake sio kujianika mitandaoni bila idhini za wazazi. Akizungumza kwenye sherehe…
Waendesha Baiskeli 100 kushindana Arusha
ARUSHA: Waendesha Baiskeli 100 watachuana vikali katika mbio za mchezo huo ambazo zimepangwa kufanyika Oktoba Mosi jijini Arusha.Mashindano hayo yanajulikana kama ‘Tanzania Heritage tour ‘ yameandaliwa na kampuni ya Tanzania…
TRA yaja kivingine ukusanyaji mapato
HALMASHAURI ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro imeanza kazi ya kuwatambua wafanyabiashara wake wote ili wasajiliwe kwenye mfumo mpya wa ukusanyaji wa mapato. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, David…