TPA: Uwekezaji bandarini umejikita kiteknolojia
GEITA; MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imebainisha kwamba uwekezaji unaoenda kufanyaika kwenye bandari unalenga kuboresha teknolojia na ufanisi wa upakuaji na upakiaji wa mizigo. Ofisa Utekelezaji wa TPA,…
Waziri Kairuki akutana na Rais wa Utalii Duniani
SAUDIA ARABIA; Riyadh. Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amekutana na kufanya mazungumzo na Rais ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Utalii Duniani (World Travel Tourism Council…
Wawekezaji Rorya waongoza harambee ukarabati madarasa
BAADHI ya wafanyabiashara na wawekezaji katika maeneo mbalimbali wilayani Rorya mkoani Mara wameanzisha mkakati wa kukarabati wa madarasa na upanuzi wa shule za msingi walizosoma kwa lengo la kuunga mkono juhudi…
Mlipuko wauwa watu 57 Pakistan
WATU 57 wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa katika shambulizi la kujitoa muhanga karibia na eneo lenye misikiti miwili wakati wa muendelezo ya sherehe za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad, nchini Pakistan, qReuters…
Gmail ndio mtoaji wa huduma ya barua pepe ambae ni maarufu na anatumika Zaidi kwa watu mbalimbali.
Gmail ndio mtoaji wa huduma ya barua pepe ambae ni maarufu na anatumika Zaidi kwa watu mbalimbali. Mara kwa mara huduma hii ya Gmail imekua ikilete maboresho na vipengele kadha…
Mwakinyo agomea pambano la kesho
BONDIA Hassan Mwakinyo amesema hatopanda ulingoni kupigana dhidi ya Bondia Julius Indonga kwenye pambano la kuwania mkanda wa IBA International kesho. – Mwakinyo amesema uamuzi huo umetokana na uwongo na udanganyifu…
Wawekezaji wahakikishiwa mazingira mazuri
DSM; KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dk Hashil Abdallah, amesema Ofisa yeyote wa Serikali atakayekwamisha ufanyaji biashara, uwekezaji au uanzishwaji viwanda nchini ni adui namba moja wa…
Samia aagiza ujenzi viwanja viwili vya kisasa
RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kufanya maandalizi ikiwemo kukamilika kwa wakati na kwa ubora wa hali ya ju viwanja viwili vipya vya kisasa vya…
Sh bilioni 50 kuimarisha miundombinu ya mawasiliano
SERIKALI imesaini mkataba wa Sh bilioni 50 na muungano wa kampuni za huduma za mawasiliano kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya mawasiliano nchini. Hafla ya utiaji saini imefanyika leo jijini Dar…
Maaskofu wakemea mahubiri ya uongo
MAASKOFU wa Kanisa la Anglikan Tanzania wamekemea chimbuko la makanisa yanayoeneza mahubiri ya uongo na kujinufaisha kupitia ongezeko la watanzania wanaodanganyika kupata mali bila kufanya kazi na changamoto zao zingine kushughulikiwa…