Biashara

Bigboss Media inakuletea habari za biashara zenye ufahamu na mwelekeo wa kisasa katika kategori ya Biashara. Tovuti yetu inakupa taarifa za hivi karibuni kuhusu masuala ya biashara, uchumi, fedha, na mwenendo wa soko la dunia. Tunafuatilia matukio ya kiuchumi na biashara kote ulimwenguni ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi katika ulimwengu wa biashara. Tunaamini kwamba maarifa ni nguvu, na Bigboss Media iko hapa kukupa maarifa na ufahamu unaohitajika kufanikiwa katika ulimwengu wa biashara.

Wawekezaji wahakikishiwa mazingira mazuri

DSM; KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dk Hashil Abdallah,  amesema Ofisa yeyote wa Serikali  atakayekwamisha ufanyaji biashara,

Rayyan Mvungi Rayyan Mvungi

TRA yaja kivingine ukusanyaji mapato

HALMASHAURI ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro imeanza kazi ya kuwatambua wafanyabiashara wake wote ili wasajiliwe kwenye mfumo mpya wa

Rayyan Mvungi Rayyan Mvungi

TPA: Uwekezaji bandarini umejikita kiteknolojia

GEITA; MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imebainisha kwamba uwekezaji unaoenda kufanyaika kwenye bandari unalenga kuboresha teknolojia na ufanisi

Rayyan Mvungi Rayyan Mvungi
- Advertisement -
Ad imageAd image