Michezo na Burudani

Bigboss Media inakuletea burudani na kiburudani kwenye kategori ya Michezo na Burudani. Tovuti yetu inakupa habari za michezo za hivi karibuni, taarifa za matukio ya burudani, mahojiano na wasanii, pamoja na machapisho ya hali ya juu yanayohusu michezo na burudani. Tunakupa fursa ya kujifurahisha na kuburudika na ulimwengu wa michezo na burudani, pamoja na kuwa na ufahamu wa kina kuhusu matukio na mwenendo wa sanaa, muziki, filamu, michezo ya elektroniki, na zaidi. Bigboss Media inakuletea habari za burudani zinazokufanya ujihisi kama mshiriki wa tukio na kuwa karibu na ulimwengu wa michezo na burudani

Mwakinyo agomea pambano la kesho

BONDIA Hassan Mwakinyo amesema hatopanda ulingoni kupigana dhidi ya Bondia Julius Indonga kwenye pambano la kuwania mkanda wa IBA International kesho.

Rayyan Mvungi Rayyan Mvungi

Samia aagiza ujenzi viwanja viwili vya kisasa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kufanya maandalizi ikiwemo kukamilika kwa wakati na kwa ubora

Rayyan Mvungi Rayyan Mvungi

Yanga yajipigia tena Geita Gold

SHOO imerudi tena baada ya Yanga jioni hii kuendeleza ubabe dhidi ya Geita Gold kwa kuifumua mabao 3-0 katika pambano

Rayyan Mvungi Rayyan Mvungi
- Advertisement -
Ad imageAd image